HEDHI SALAMA HALMASHAURI YA MANISPAA YA BUKOBA HEDHI SALAMA (Menstrual Hygiene Management ) Hedhi ni hali ya kawaida ya kimaumbile kwa motto wa kike ambayo ni ishara ya Afya bora. Ni kipindi cha kupevuka kwa mabinti kutoka katika hali ya utoto na kuingia hali ya ujana na baadae utu uzima. MAFUNZO YALIYOMO Ø Hatua mbalimbali za makuzi kwa vijana wa kike na kiume (Kimwili, Kifikra na Kijamii) (mahusiano) Ø Mzunguko wa Hedhi unavyotokea (Menstrual wheel) Ø Kuvunja ukimya juu ya usimamizi wa Hedhi salama Ø Vifaa mbalimbali vya kujisitiri wakati wa Hedhi (Pedy na vitambaa safi vya kushona) Ø Vyombo vya kuhifadhia vifaa vya hedhi baada ya matumizi na namna ya kuvifukia/kuvichoma KAURI MBIU JUU YA HEDHI SALAMA Ø Nitavunja ukimya juu ya Hedhi Salama, Sitaona aibu, nitajivunia na kutoa elimu hii ndani ya familia na kwa jamii nzima. Ø Zingatia usawa kijinsia kwa kuwashirikisha watu wenye mah...
Comments
Post a Comment